August 3, 2017


Kiungo Ramadhani Singano amerejea Dar es Salaam kimyakimya.
Taarifa zinaeleza kuwa usajili wake umekwama huko Morocco ambako aliichezea timu ya Difaa Al Jadid mechi moja ya kirafiki.

Kabla ya kwenda alisajili mkataba wa awali, lakini juzi usiku SALEHJEMBE ilipata taarifa kwamba benchi la ufundi halikuvutiwa naye kutokana na kuwa na wachezaji wanaofanana naye kiuchezaji na walionekana ni wakali zaidi.

1 COMMENTS:

  1. AWAHI USASAJILI LIPULI KABLA HAUJAFUNGWA, HUWEZI AMINI HUYU MTOTO PANA KIPINDI ASIPOCHEZA SIMBA ILIKUWA INAPWAYA SIKU HIYO...NA IWE FUNZO KWA MAKINDA WENGINE..KIBURI KIMEMPONZA...USINYEE KAMBI

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV