Kipa mkongwe wa Juventus, Gianluigi Buffon ametangazwa kuwa kipa bora katika tuzo za Fifa zinazoendelea jijini London.
Buffon ameibuka na ushindi katika tuzo ya kipa bora akiwangusha Keylor Navas wa Real Madrid ambao ni mabingwa wa Ulaya na Manuel Neuer wa Bayern Munich.
0 COMMENTS:
Post a Comment