David Unsworth ndiye kocha wa muda wa FC Everton baada ya kufutwa kwazi kwa Ronald Koeman ambaye alikuja na timu hiyo nchini ikiwa katika maandalizi ya msimu mpya.
Unsworth tayari ameanza kazi lakini amesema anaamini itakuwa ni kazi ngumu.
"Ni kazi ngumu sana, unajua tulipo sasa lakini ni lazima tupambane na kurejea katika kiwango chetu.
"Ninaamini tuna wachezaji wazuri wakiongozwa na Rooney na tuna nafasi ya kurejea katika kiwango chetu," anasema.
0 COMMENTS:
Post a Comment