October 16, 2017



Sare dhidi ya bao 1-1 katika mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya  Malawi, imeporomosha Tanzania nafasi 11 katika msimamo wa ubora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa.

Tanzania sasa iko katika nafasi ya 136 ikiwa nyuma ya Liberia iliyo katika nafasi ya 135.

Chini ya Tanzania ipo nchi ndogo ya Antigua and Barbuda na baada ya hapo kuna Thailand halafu Angola na Swaziland.


Burundi wameendelea kubaki katika nafasi ya 129 wakiwa juu ya Tanzania, wakati Kenya imeporomoka nafasi 14 hadi ya 102 na Uganda wamepanda nafasi moja na kufikia nafasi ya 70.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic