October 25, 2017




Picha ni uwanja wa Jamhuri Dodoma ukiwa umefungwa kwa matumizi ya mpira wa miguu, tayari umeanza kuondolewa pitch ili mwakani uweze kutumia na kuwa na viwango.

Kwa mantiki hiyo, Singida United Fc kwakuwa uwanja wake wa Namfua umeshakamilika kwa asilimia 99, hivyo mechi yake ya nyumbani itaanza dhidi ya Yanga November 04.

Ushirikiano wa TFF na Bodi ya Ligi kuhakikisha Namfua unaanza kutumika ni wakiwango cha juu, Viongozi wakuu wa soka. Nchi wanafanya kazi bega kwa bega na Singida united Management kuhakikisha Kipute cha Ligi Kuu kinaanza kutimka pale NAMFUA.


Singida United ni zao la moja ya timu nguli kipindi hicho iliyokuwa inatwa Mto FC. Sasa imerejea Ligi kuu kivingine huku jezi yake ya nyumbani ni Blue, jezi iliyoasisiwa na Mto FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic