November 16, 2017





Kiungo mkonwe wa Bayern Munich, Franck Ribery amerejea mazoezini baada ya kukaa nje ya uwanja kwa wiki sita akiuguza goti lake.

Ribery ,34, amekuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara.


Imeelezwa goti lake lilipata tatizo la misuli ya ndani wakati Bayern ikivaa Hertha Berlin, Oktoba Mosi na kupata sare ya 2-2.


Kurejea kwa Riberry inaonekana ni mambo zuri kwa Bayern kwa kuwa kosa aliyerejea kikosini hapo angependelea kuendelea kumtumia yeye wingi moja na wingi nyingine pacha wake, Arjen Robben.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic