Mshambuliaji nyota wa Argentina, Lionel Messi, sasa amekuwa mfungaji bora wa barani Ulaya.
Mara ya mwisho ni msimu uliopita ambao alifunga mabao 37katika mechi 37.
2016/17 — Mabao 37, mechi 34
2015/16 — Mabao 26, mechi 33
2014/15 — Mabao 43, mechi 38
2013/14 — Mechi 28, mechi 31
2012/13 — Mechi 46, mechi 32
0 COMMENTS:
Post a Comment