NEYMAR AINGOZA BRAZIL KUJIFUA KABLA YA KUIVAA JAPAN Neymar ameongoza mazoezi ya Brazil inayojiandaa kuivaa Japan katika mechi ya kirafiki, Ijumaa. Mechi hiyo ya kirafiki itachezwa jijini Lille nchini Ufaransa na Neymar ataiongoza Brazil akiwa ni nahodha kama ilivyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment