Kikosi cha Simba kimesimama kwa muda mjini Sumbawanga na kuvuya mashabiki wengi waliotaka kuwashuhudia wachezaji wa Simba.
Simba iko njiani kwenda mjini katavi ambako watacheza mechi ya kirafiki kesho.
Mashabiki walijitokeza kwa wingi kuwashuhudia wachezaji wa Simba hasa waliokiwakilisha kikosi hicho dhidi ya Mbeya City, jana.
Katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, Simba ilishinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Shiza Kichuya.











0 COMMENTS:
Post a Comment