November 6, 2017


Zinapokutana Boca Juniors na River Plate kwa Argentina inakuwa sawa na Simba na Yanga haps Bongo.

Mechi ya watani, mechi yenye kila vimbwanga na si mchezo.

Boca Junior imeifunga River Plate kwa mabao 2-1 na kuonyesha ni wababe hasa katika mechi hiyo maarufu kama Superclasico.

Nakupa baadhi ya picha za mechi hiyo iliyopigwa katika jiji la Buenos Aires nchini Argentina, jana.















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic