November 6, 2017

Kiungo wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Raphael Daudi (katikati) akipiga hesabu za kuwatoka Boniface Maganga (kulia) na Elias Maguli kwenye mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Kijitonyama leo Novemba 6. 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).




Kocha Mkuu wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Salum Mayanga (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na wasaidizi wake kutoka kushoto, Ami Ninje, Patrick Mwangata na Fulgence Novatus wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Uwanja wa Jakaya Kikwete, Kidongo Chekundu Kijitonyama leo Novemba 6. 2017. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic