YANGA YAAAMUA KUENDELEA KUJIFUA KUIA PRISONS... Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi leo kujiandaa na mechi yake dhidi ya Prisons. Yanga itaivaa Prisons katika mechi ya Ligi Kuu Bara itakayochezwa kwenye wa Uwanja wa Azam Complex nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Jumamosi.
0 COMMENTS:
Post a Comment