Mashabiki wa klabu ya Arsenal walio hapa nchini Tanzania, wameonyesha upendo wa that baada ya kutembelea hospitali, wakatoa michango ya vifaa pamoja na kutoa damu.
Jana Desemba 16, 2017, mashabiki hao wa Arsenal maarufu kama Arsenal Supporters Club Tanzania (ASCTZ)
wamechangia viti 6 vya magurudumu (wheelchairs) na kushiriki katika zoezi la kuchangia damu salama katika Hospitali ya Mwananyamala katika kuunga mkono juhudi za serikali kupunguza vifo vya akina mama wanaojifungua na watoto wachanga.
MAWASILIANO YAO....
Mboka Francis (0717955539)
Club Secretary
Arsenal Tanzania Supporters' Club
0 COMMENTS:
Post a Comment