January 5, 2018



Yanga imeichapa Taifa Jang'ombe kwa mabao 2-0 katika mechi yake ya tatu ya Kombe la Mapinduzi.

Katika mechi hiyo uliyoisha hivi punde kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, mabao ya Yanga yalifungwa na Ibrahim Ajibu na Yohana Nkomola.

Yanga ilionyesha soka la kasi lakini Jang'ombe hawakuwa wepesi kwa kuwa walitoa upinzani mkubwa. 

Hata hivyo tatizo la Jang'ombe ilikuwa ni kukaa na mpira muda mwingi bila ya kufanya mashambulizi mengi yenye nguvu.

1 COMMENTS:

  1. TIMU ZA ZANZIBAR WAKICHEZA NA SIMBA NDO WANAVIMBA LAKINI NA TIMU ZINGINE WANPIGWA MIBAO TENA MENGI TU

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic