Kocha wa Yanga, George Lwandamina leo ameanza kazi rasmi kukifua kikosi chake tena.
Lwandamina ameanza kazi baada ya kurejea nchini akitokea kwao Zambia ambako alifiwa na mtoto wake.
Lwandamina amekiongoza kikosi chake leo ikiwa ni maandalizi na mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui FC, Jumatano.
Kocha huyo aliungana na kikosi chake Zanzibar wakati kikishiriki Kombe la Mapinduzi lakini kikiwa chini ya wasaidizi wake.
0 COMMENTS:
Post a Comment