January 23, 2018


Henrikh Mkhitaryan tayari ameanza mazoezi katika timu yake mpya ya Arsenal.


Kiungo huyo amejiunga na Arsenal akitokea Manchester United ikiwa ni sehemu ya uhamisho wa Alexis Sanchez kutoka Arsenal kwenda Manchester United.


Kocha Arsene Wenger wa Arsenal alikuwa wa kwanza kumpokea wakati alipowasili mazoezini nje kidogo ya jijini la London.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic