BOCCO HUYU HAPA AKIKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA MCHEZAJI BORA JANUARI Nahodha wa Simba amekabidhiwa kitita chake cha Sh milioni moja kutoka kwa wadhamini wa Ligi Kuu Bara, Vodacom. Bocco ameibuka mchezaji bora wa Ligi Kuu Bara kwa Januari na amekabidhiwa fedha zake hizo leo kabla ya Simba kuanza kupambana na Mbao FC.
0 COMMENTS:
Post a Comment