PICHA HIZI HAPA SIMBA ILIVYOIBURUZA MBAO FC MARA TANO BILA UBISHI Simba imeitwanga Mbao FC kwa mabao 5-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara na kuvunja ubabe wa Mbao ambao walikuwa wanaonekana ni wagumu kwa vigogo. Simba imeshinda kwa mabao hayo ikiwa nyumbani Dar es Salaam. Angalia picha za action.
0 COMMENTS:
Post a Comment