February 23, 2018



Golikipa wa Manchester United, David de Gea, ametangazwa kuwa mchezaji bora wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) kwa wiki hii.

Katika kinyang'anyiro cha tuzo hiyo, De Gea alikuwa anachuana na kiungo wa Chelsea, Willian, Muller wa Borrusia Dortmund, pamoja na Fred anayeichezea Shakhtar Donestk ya Ujerumani.

Mlinda mlango huyo ameshinda kwa aslimia 48 ya kura.

Katika mchezo uliopita dhidi ya Sevilla, De Gea aliisaidia timu yake kwenda suluhu ya 0-0 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic