February 23, 2018




Vinara wa Ligi Kuu Bara, Simba wataendelea na mazoezi leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani.

Simba inaendelea na maandalizi yake ili kurejea Ligi Kuu Bara kwa kishindo tayari kuwavaa Mbao FC.


Vinara hao watakuwa wenyeji wa Mbao FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumatatu.


Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Simba wanaongoza wakiwa na pointi 42, wakifatiwa na watani wao Yanga wenye 37.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic