February 25, 2018


Manchester City imeilaza Arsenal katika fainali ta Carabao CUP kwa mabao 3-0, mechi ikipigwa kwenye dimba la Wembley.

Wafungaji wa mabao hayo ni Kun Aguero, Vincent Company, pamoja David Silva aliyepigilia msumari wa mwisho.

Taji hili limekuwa la kwanza kwa Kocha Pep Guardiola akiwa na Man City tangu ajiunge nayo akitokea Bayern Munich.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV