February 27, 2018


Mshambuliaji aliyeweka dau la dunia kwa usajli, Neymar Junior, kuna uwezekano mkubwa akaukosa mchezo wa marudiano katika Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Real Madrid.

Neymar aliumia kwenye kifundo chake cha mguu katika mchezo wa Ligi dhidi ya Marseille na kupelekea kutolewa nje na machela.

Taarifa zinasema, maumivu hayo yanaweza yakapelekea kukoseka dimbani, March 6 2018 wakati PSG itakapocheza dhidi ya Real Madrid kwenye Dimba la Santiago Bernabeu.

Mchezaji huyo alisajiliwa na PSG akitokea FC. Barcelona kwa dau la pauni milioni 200, na mpaka sasa amecheza jumla ya mechi 30 huku akifunga mabao 29.

2 COMMENTS:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Naona Saleh kaamka vibaya 😆😆😆
    Hivi mechi itakuwa Ufaransa au Spain

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic