February 27, 2018


Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) imepangwa kucheza na DR Congo kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Vijana za Africa zitakazochezwa Niger mwezi Novemba.
Mchezo wa kwanza utachezwa Tanzania kati ya Machi 30,31 na April 1, 2018 na ule wa marudiano utachezwa Congo kati ya Machi 20, 21 na 22.
Mshindi katika mchezo huo atacheza na Mali katika raundi ya pili itakayochezwa kati ya Mei 11, 12 na 13, 2018.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic