Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inataraji kucheza na Zambia
katika mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake, zitakazochezwa nchini Ghana baadaye
mwaka huu.
Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya
April 2 na April 10, 2018.
Mchezo huo utakuwa ni wa raundi ya kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment