February 22, 2018



Kipa David de Gea ameibuka shujaa wa Man United ambayo imepata sare ya bila bao katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Sevilla ya Hispania.

Sevilla ilionyesha soka safi na kuoa Man United wakati mgumu katika vipindi vyote viwili lakini de Gea akawa shujaa kwa kuokoa mara tatu sehemu ambazo zilionekana ilikuwa lazima Man United “wamekufa”










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic