February 1, 2018



Katika kipindi cha Spoti Hausi leo, wachambuzi wako watakuletea uchambuzi wa mchezo kati ya Yanga na Ihefu Watakuwa na mwenyekiti wa Tawi la Ubungo Terminal ambaye atafafanua kwanini tawi la Yanga linakufa. Nani anawalipia viingilio uwanjani? Atamtaja staa anayemkubali sana kwenye kikosi cha Yanga kwa sasa na kwanini Ibrahim Ajibu ameshuka kiwango tofauti na kile alichokuwa nacho kwenye kikosi cha Simba.  

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic