Napongeza uongozi wa aina hii unaolani na kuchukua hatua wao wenyewe dhidi ya mchezaji wake anapokosa uungwana. Hongereni sana uongozi wa Singida United. Nawashangaa uongozi na kocha wa Kagera Sugar kutetea jambo la ovyo lililofanywa na mchezaji wake Juma Nyoso. Aibu.

ReplyDelete