February 21, 2018



Na George Mganga

Mabingwa wa Ligi Kuu Zambia, Zesco United, leo wameicharaza vilivyo klabu ya JKU kutoka visiwani Zanzibar kwa jumla ya  mabao 7-0 katika Klabu Bingwa Afrika.

Kipigo kimekuja mara baada ya mechi ya awali kwenda suluhu ya 0-0, mechi ikipigwa katika Uwanja wa Amani, huko Zanzibar.

Katika mchezo huo, Zikiru Adams amecheka na nyavu za JKU mara 4, akifunga kipindi cha kwanza mawili na cha pili mawili.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic