March 31, 2018




Aliyekuwa nguzo ya Wasafi Classic Baby (WCB) chini ya Diamond Platnumz katika kitengo cha picha akiwa ndiye mpigapicha mkuu, Andrew almaarufu Kifesi ametangaza kuacha kazi ili kupata muda wa kufanya mambo yake.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram kifesi ameandika: “Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufanyamaamzi yatagobadili maisha yangu Nimeamua rasmi kuacha kazi kama Mpiga picha wa diamond na mwajiriwa wa WCB.. Well It’s insane to be leaving a stable job u love But that’s reality for me naacha kaz kwa mtu alokua zaid ya Rafiki kwangu naacha kaz ambayo ni ndoto ya Vijana wengi out there but to me..i see miaka yngu 4/5 ya kufanya kaz hapa inatosha nimeamua kufata moyo wangu . . ni uamzi nilokua nao karibu mwaka sasa but kama ilivo kwa waajiriwa wengi is so hard kufnya maamzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.. Naacha kazi to persue my Dreams life ikiwamo Kujiajiri. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence.  reason ya mwisho na kubwa zaid kwangu.. Naacha hii kaz ili niwe karibu zaid na Mungu wangu kwa iman yngu kama. Mkristo nilkua nafnya kaz Katika lifestyle na mazingira yasompendeza Mungu.. ni swala ambalo limekua likinikosesha aman kwa miaka yote sawa napta pesa umaarufu pia.. But vyote hiv cyo kitu endapo simpendez Mungu at the end we need to choose GOD over everything.. Cfa. Umaarufu na fahari yote ya Dunia vitanifaidia nn endapo nitaukosa ufalme wa Mungu…?? Nimemaua ku drop kila kitu i just want to be happy.. do my works live my life and hav time with God… Ukimchagua Mungu hata hiv vingine atakuongezea najua kutakua na changamoto nyingi.. Up and downs but Mungu ataniongoza He knew me b4 a was born aliahid ukimchagua yeye he will open the door atatufnya kuwa Kichwa na cyo mkia.. Mwisho Ningependa kushukuru familia yote ya wcb  kwa kua nami for all these yrs was great working with u.. but zaid nimshukuru Diamond kwa mda wote nlofnya nae kaz since chini mpka sasa.. Nimefnya kazi kwa mapenz.. bidii na uaminifu mkubwa Kwangu haukua boss bali rafik n nilkua rafik wa kweli kwako a will always appreciate mchango wako kwenye career yangu.. Tusameheane pale tulipowai koseana we are just humans tuna mapungufu tunakosea..hatutakua pamoja kikaz but  Nina iman tutaendelea kua marafiki. God bless u.. Uzid kufika unapopenda kufika.. GOD Bless me.. God bless my next Hustles #happysabbath Day”

2 COMMENTS:

  1. Enter your comment...Hongera Sana kwa kuwa Muwazi

    ReplyDelete
  2. Umeamuwakuwaachia vijana chipukiz au VP ila hongera tunakusburuku kwa picha nzur sisi #TeamWcb

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic