March 21, 2018



Na George Mganga
 
Leo ndiyo ile siku iliyosubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi kujua Yanga itapangwa na nani kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Yanga ndiyo timu pekee iliyosalia kwenye mashindano ya kimataifa baada ya Simba kuondolewa na Al Masry SC ya Misry.

Licha ya Yanga kuondoshwa Ligi ya Mabingwa Afrika kumeababisha isalie katika Caf Confederatio Cup ambapo Droo inachezeshwa leo Machi 21 2018.

Droo hiyo itachezeshwa majira ya mchana ikihusiha upangaji wa timu zitakazokutana kwenye michuano hiyo.

Baadhi ya timu zilizopo ni USM Algier, Raja Cassablanca, Al Masry SC na Enyimba.

4 COMMENTS:

  1. Na kwa nn iwe enyimba au al masry wakati kuna timu nyingine 13?

    ReplyDelete
  2. Na kwa nn iwe enyimba au al masry wakati kuna timu nyingine 13?

    ReplyDelete
  3. Simba ilitolewa kwa kanuni za soka,YANGA itatolewa kwa nusu dazeni ya magoli.atacheza na timu ya Algeria inayoitwa USM ALGIER.

    ReplyDelete
  4. Na ukumbuke hapohapo yanga katolewa ligi ya mabingwa Afrika kwa kichapo cha magoli.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic