April 24, 2018


Usisahau leo ndiyo Liverpool wanaikaribisha AS Roma katika mechi bombaa ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya nusu fainali.

Ni mechi ya kwanza ya aina hiyo na Polisi wa jiji la Liverpool wamejiandaa ile mbaya kuhakikisha kila kitu kinakwenda salama.


Mashabiki wa Liverpool wanaonekana wamepinda, wanataka kufanya vurugu kwa wale wa AS Roma kwa kuwa waliifanyia vurugu Man City.

Lakini Polisi wamejipanga kuhakikisha hakuna vurugu na mechi hiyo ya leo usiku inaanza na kuisha salama salimini.













0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic