April 8, 2018




Kocha Mfaransa wa Simba SC, Pierre Lechantre, inaelezwa kuwa ameutaka uongozi wa klabu ya Simba kumsajili straika mwingine wa kimataifa atayekuja kurithi mikoba ya Mganda, Emmanuel Okwi.

Lechantre amegusia usajili huo ili kukiboresha zaidi kikosi hicho haswa katika safu ya ushambuliaji.

Kauli ya Mfaransa huyo, imetoka akiwa ana takribani miezi mitatu tu tangu aanze kukinoa kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi akipokea mikono ya Joseph Omog.

Simba hivi sasa ipo Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, utakaopigwa kesho Jumatatu kwenye Uwanja wa Jamhuri.

6 COMMENTS:

  1. Straika huyu yupi???? Muwe makini mnapoandika habari waandishi

    ReplyDelete
  2. Straika huyu? Mbona hujamtaja?

    ReplyDelete
  3. Straika huyu? Mbona hujamtaja?

    ReplyDelete
  4. Ukiona hivyo ujuwe hakuna jipya.

    ReplyDelete
  5. Straika huyu,,,halafu hakuna kitu,kwani okwi anaenda wapi

    ReplyDelete
  6. Straika huyu,,,halafu hakuna kitu,kwani okwi anaenda wapi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic