Katika siku za hivi karibuni Simba na Yanga zimekutana mara 5,Simba imeshinda michezo 3 na kutoa droo michezo 2,Yanga haijaifunga Simba mechi yoyote zaidi ya kuambulia sare.
Sasa unaposema ni ushindi wa kwanza wa Simba ndani ya muda huo ulioutaja huo ni uwongo uliotukuka!Hata kama unajaribu kubalansi mambo tumia ukweli hata kama ukweli wenyewe ni mchungu.
Huu ni mwaka wa pili sasa Yanga haijaifunga Simba mchezo wowote,jaribu kuwa na kumbukumbu nzuri.
Hakika mwandishi kaandika upuuzi usio na sababu. Kulikuwa na haja gani kuandika kitu ambacho hakipo? Kama ni lazima si angeandika Yanga haijafunga Simba msimu wa pili sasa?
mwaka jana simba waliwafunga Yanga bao mbili moja kwa magoli ya Kichuya na Mavugo hata mwaka haujaisha mnasema siku 428 acheni ubabaishaji
ReplyDeleteKatika siku za hivi karibuni Simba na Yanga zimekutana mara 5,Simba imeshinda michezo 3 na kutoa droo michezo 2,Yanga haijaifunga Simba mechi yoyote zaidi ya kuambulia sare.
DeleteSasa unaposema ni ushindi wa kwanza wa Simba ndani ya muda huo ulioutaja huo ni uwongo uliotukuka!Hata kama unajaribu kubalansi mambo tumia ukweli hata kama ukweli wenyewe ni mchungu.

Delete