April 23, 2018



Kocha Arsene Wenger ameanza kuaga kuiaga vizuri Arsenal baada ya kuilaza West Ham United kwa mabao 4-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

Ushindi umekuwa ikiwa ni siku kadhaa Wenger kutangaza kuwa ataondoka na kukiacha kikosi hicho baada ya msimu huu kumalizika.

Mabao ya Arsenal yamefungwa na Monreal, Ramsey na Lacazette aliyeingia kambani mara mbili, huku bao pekee na West Ham likitiwa kimiani na Arnautovic.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic