Liverpool wameingia kambini kwa ajili ya mechi yao ya leo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya AS Roma.
Itakuwa ni mechi ya kwanza ya nusu fainali lakini pia ni ya kwanza kwa Mohamed Salah akiwa mwanasoka bora wa Ligi Kuu England.
Tayari Kocha wa Liverpool, Jurgen Kloop amesema wako tayari na wanasubiri muda tu kwa muwa wanajua haitakuwa lahisi kwao.
Roma tayari wako Liverpool na walifanya mazoezi yao ya mwisho tayari kwa kazi ya kesho ambayo mechi ya kwanza huwa na nafasi kubwa ya kuamua mechi inayofuata.
0 COMMENTS:
Post a Comment