Serengeti Boys wameibuka mabingwa wa michuano ya Cecafa ya vijana chini ya miaka 17.
Seregenti wameibuka mabingwa baada ya kuitwanga Somalia kwa mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa jijini Bujumbura, Burundi.
Mabao ya vijana hao wa Tanzania, Edson Jeremiah na Jaffar Mtoo.
0 COMMENTS:
Post a Comment