FT: Simba 2-2 Azam FC
NGOMA imekamilika Uwanja wa Mkapa leo Februari 7 kwa Simba kugawana pointi mojamoja na wapinzani wao Azam FC.
Dakika 90 zimekamilika
Zinaongezwa dakika 2
Luis anatoka anaingia Mzamiru dakika ya 86
Dakika ya 78 Luis goal
Dakika ya 76 Lyanga Goal anapachika bao la piliDakika ya 73 Lwanga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 67 Goal, Idd Naldo, nje ya 18.
Dakika ya 62, Yahya anaingia anatoka Niyonzima
Dakika ya 57 Dube anapewa huduma ya Kwanza aligongwa na mpira uliopigwa na Luis
Dakika ya 55 Luis anapeleka mashambulizi
Dakika ya 54 Chikwende of target
Dakika ya 51 Sure Boy anapiga shuti linaokolewa na Manula
Dakika ya 48 Lyanga of target
Dakika ya 46 Chikwende anachezewa faulo
Kipindi cha pili
Kipindi cha Kwanza
Mapumziko
Simba 1-0 Azam FC
Uwanja wa Mkapa
Zinaongezwa dakika 3
Dakika ya 44 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 43 Luis anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 39 Kapombe anapewa huduma ya Kwanza
Dakika ya 38, Chama anapiga penalti, Kigonya anaokoa
Dakika ya 37 Simba wanapata penalti imesababishwa na Luis
Goal Simba, Kagere dk 27
Dakika ya 24, Kigonya anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 20, Kigonya anaokoa hatari ya Luis Miquissone
Dakika ya 16 Sure Boy njano
Dakika ya 15 Morris anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 14 Chama anaotea
Dakika ya 13 Kigonya anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 12 Lyanga anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dakika ya 8 Tshabalala on target
Dakika ya 6 Chama aliotea
Ushindi muhimu leo mnyama
ReplyDeleteWajilaumu wenyewe Simba kwa fursa nyingi walizopata pamoja na kukosa peneti na huku Simba ndio walimiliki kila kitu
ReplyDeleteKiporo karibu kichache asilimia 100.. hehehe..mikia aka paka mweusi
ReplyDeleteKiporo kime chacha
ReplyDeleteHapo ni azamu hivyo, je AS VITA, je, Al ahaly? Habari ya goli tano inakuja tena
ReplyDeleteUmeona aibu kutaja utopolo
DeleteKidimbwi FC siku zote wao wanaota ndoto kwani hao Al Ahly sijui As Vita hawajawahi kufungwa na Simba, msije kusema Simba imewanunua wachezaji wa As Vita maana nyie mnajua Mpira ni kushinda siku zote Ila Simba ni timu ya Mpira kutoka sare na Azam ni sehemu ya mchezo tusije tukasikia mbele huko kwamba TFF ni simba
ReplyDeleteMbona jana utopolo kachezea kidude kutoka timu ya mchangani?
ReplyDeleteMmetapika point 2...
DeleteTafuta historia ya African Sports ndo utajua kama ni timu ya mchangani au la.
DeleteHahahahahhaaaa
ReplyDeleteMpira una matokeo matani.
ReplyDeleteMpira una matokeo matani.
ReplyDeleteMpira una matokeo matani.
ReplyDeleteKocha Matola ajitahidi kumsaidia Didier Gommes kuelewa ubora wa kila mchezaji na nafasi na majukumu anayomudu akiwa uwanjani. Naye Gommes atazame video za michezo simba iliyocheza kwa ubora mkubwa e.g. dhidi ya platinum. Mbinu alizotumia Sven zilimbeba sana. Clatous wachezaji warudishiwe majukumu waliyokuwa wamepewa na Sven angalau ktk muda huu mfupi wa kucheza kimataifa
ReplyDeleteNyie ndiyo mlisema sven hana mbinu leo hii mmegeuka
DeleteAhahaha, Bongo Team ikifungwa kila mshabiki anakuwa coach...
ReplyDeleteHahahaaaa nyau na kipolo kilicho oza ulimi nje
ReplyDeleteHahahaaaa nyau na kipolo kilicho oza ulimi nje
ReplyDelete