Tazama bao pekee la Simba lililofungwa na Erasto Nyoni mnamo dakika ya 37 ya kipindi cha kwanza pamoja na kadi aliyopata mchezaji wa Yanga, Hassan Kessy.
VIDEO - BAO LA ERASTO NYONI KWA SIMBA NA KADI NYEKUNDU YA HASSAN KESSY
Tazama bao pekee la Simba lililofungwa na Erasto Nyoni mnamo dakika ya 37 ya kipindi cha kwanza pamoja na kadi aliyopata mchezaji wa Yanga, Hassan Kessy.
Aki ya Mungu walootukolofisha ni hawa waliokuwa wachezaji wa simba. Tazama uyu Isiaka mara mbili anafanya faulo oliyopelekea kadi nyekundu na Iblaim Ajibu nae mara kachoka na yule Yondani badala ya kucheza mplla anatemea mate Kwasi. Hawa hawakuja kucheza mpila lakini ni majasusi wa simba
ReplyDelete