May 31, 2018



Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba walitarajiwa kuondoka leo na kikosi cha watu 25 kwenda nchini Kenya ambao itafanyika michuano ya Kombe la SportPesa Super Cup.

Michuano hiyo itaanza Juni 3 hadi 10 ikishirikisha timu 8 kutoka Tanzania Bana na Visiwani pamoja na wenyeji Kenya.

Simba inaondoka bila mshambuliaji wake nyota, Emmanuel Okwi, nahoadha wake John Bocco huku ikijumuisha wachezaji wake wawili wapaya.

Marcel Kaheza ambaye amerejea Simba akitoa Majimaji atakuwa mmoja wao, lakini Adam Salamba ataondoka Jumamosi kuungana na Simba.

Mmoja wa wakongwe ambaye anarejea katika kiwango chake, Haruna Niyonzima ni kati ya watu waliojumuishwa katika kikosi hicho kitakachoongozwa na Pierre Lechantre.


Msafara utaongozwa na mkongwe Hamisi Kisiwa, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Tuli pamoja Msemaji wake, Haji Sunday Manara.



KIKOSI:

1. Aishi Manula
2. Said Mohamed
3. Ally Salim
4. Ally Shomary 
5. Paul Bukaba 
6. Erasto Nyoni
7. Yusufu Mlipili
8. Mohamed Hussein
9. Jonas Mkude
10. Shomari Kapombe
11. Mzamiru Yassin
12. Marcel Kaheza 
13. Moses Kitandu 
14. Rashid Juma
15. Said Hamis Ndemla
16. Haruna Niyonzima
17. Shiza Kichuya
18. Mohamed Ibrahim


Bechi la Ufundi:
19. Pierre Lechantre 
20. Masoud Djuma
21. Mohamed Aimen
22. Muharam Mohamed
23. Richard Robert
24. Yassin Gembe
25. Hamisi Mtambo

  

3 COMMENTS:

  1. Kwa nini Okwi na Bocco hawajaenda Kenya? Au ni matatizo ya kifamilia

    Protas-Iringa

    ReplyDelete
  2. Ikatokea Simba wanaramba kombe la SportPesa hao hao ndo waende Ulaya..msije leta mchezo wakis***e washinde wengine alafu wanaanza kuwaitafuta wakina Okwi ndio waende Ulaya kuuza sura, atakaye vuja jasho ndo atumike aende hata kama ni mbovu na ametumikia team yk fresh basi na ulaya atumike.

    ReplyDelete
  3. Salamba na Kaheza hawatacheza kwa mujibu wa kanuni za wadhamini wa mashindano hayo kuzuia wachezaji wapyaniwale tu waliowakilisha timu kwenye ligi iliyopita. Sasa anapoachwa Okwi na Bocco hivi magoli yatapatikanaje?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic