May 23, 2018



Ni rasmi sasa uongozi wa klabu ya Arsenal umemtangaza Kocha Unai Emery kurithi mikoba ya Arsene Wenger aliyekaa na kikosi kwa muda mrefu.

Emery amekabidhiwa kiti cha Wenger ambaye alitangaza kustaafu baada ya kuitumikia kwa zaidi ya miaka 20 

Emery anawasili Arsenal akitokea PSG ya Ufaransa aliyoifikisha hatua ya makundi na kutolewa kwenye ligi ya mabingwa Ulaya msimu huu.

Kocha huyo ataanza rasmi majukumu ya kukiandaa kikosi cha Arsenal kwa ajili ya msimu ujao wa ligi.


3 COMMENTS:

  1. Enter your comment...Shida je pesa za kutosha kusajili wachezaji atakaowahitaji atapewa? Maana jamaa wamezoeleka kuwa wapo strict sana ktk kubana matumizi.

    ReplyDelete
  2. Uyo coach amefanya kazi na Seville kwa budget ndogo na kuchukua europer cup Mara 3

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic