HABIBU KIOMBO MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI VPL 2017/18
Usiku wa June 23 2018 zilifanyika tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2017/18 na kutolewa kwa wale ambao wamefanya vizuri kuanzia makocha,wachezaji na club, hii ndio list ya tuzo zilizotolewa usiku wa June 23.
List ya washindi wa tuzo za VPL 2017/18.
1- Habibu Kiyombo mchezaji bora chipukizi.
2- Aishi Manula golikipa bora wa msimu
3- John Bocco mchezaji bora wa msimu.
4- Shaban Iddi mshindi wa tuzo ya goli bora la msimu.
5- Abdallah Mohamed wa Prisons ndio kocha bora.
6- Emmanuel Okwi mfungaji bora.
7- Elly Sasii muamuzi bora wa msimu.
0 COMMENTS:
Post a Comment