KIKOSI CHA WACHEZAJI BORA LIGI KUU BARA 2017/18, SIMBA YAONGOZA
Wachezaji waliounda kikosi bora cha msimu wa 2017/18 katika Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara.
1. Aishi Manula
2. Hassan Kessy
3. Shafiq Batambuzi
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondani
6. Patrick Tshishimbi
7. Shiza Kichuya
8. Tafadzwa kotinyu
9. John Bocco
10. Emanuel Okwi
11. Marcel Kaheza
Hiki kikosi bora lazima mtu agune utamuachaje Shomari kapombe? Hivyo khasan kessy ni bora kuliko kapombe? Hizi siasa za kipuuzi za uyanga na usimba ndizo zinazotukwamisha.
ReplyDeleteKwa kikosi hiki hakuna kamati ya zawadi ni usanii mtupu Kessy hana sifa na hata mchezaji wa Prison hamjawaona? Mkude je? Ndio tuwaite wawekezaji?
Deletekapombe amefanya nini msimu huuu....weeee ndo unaleta siasa za mpira huna lolote....unaoneka una mapenzi na simba
Deletemchezaji hajacheza karibia msimu mzima afu unataka awepo kwenye kikosi cha msimu.....
jifunze soka kama vipi tengeneza cha kwako!!!!!!
Huwezi kumwacha Mkude, Kapombe, Chirwa halafu ukakiita kikosi bora.
ReplyDeleteTutasubir sana kwenye mafanikio ya soka, hata kuona pia hatujui? Hata Dilunga kaz aliyoifanya msimu huu mzma kwenye timu yake hajaonekana kweli? U simba na uyanga utalitafuna mno taifa letu kisoka kama walivyofanyiwa waarabu kuke Rusiaaaaaaa
ReplyDeleteEti mtu na akili zake anauliza kapombe kafanya nini ligi kuu? Unapozungumzia ubingwa wa simba msimu huu basi kapombe ni miongoni mwa wachezaji waliojitolea kila kitu kuhakikisha Simba inabeba ubingwa.lakini Kwani kapombe aliwahi kupewa kadi nyekundu au njano ya kipumbavu? Kuna namba nyengine uwanjani khasan kessy anaweza kucheza kwa ufaha badala ya namba mbili peke yake? Kumfananisha kessy na kapombe ni sawa na kuifananisha tanzanite na kokoto. Sasa naona wanaojifanaya watu wa mpira Tanzania wameamua kubeba kokoto na kuiacha Tanzanite
ReplyDeleteWahuni wengi hapo kwenye hiyo kamati
ReplyDeleteHiki kikosi ni kikosi bora cha VPL kilichoteuliwa na kamati ,si kikosi bora cha wafuatiliaji Wa VPL.
ReplyDeleteTatizo wajumbe wengi wanamaslahi binafsi.
Hivi hawa hawakuonekana. 1- Vitalis Mayanga - stand
2- Blaise Bigilimana- stand
3-Tiba George- Ndanda.
4-eliud Ambokile- prison
5-Deus Kaseke- Singida
6- Obrey Chirwa-Yanga.
7-na wengine wengi hawa tu wanamchango mkubwa kwenye timu zao kuliko wengi walioko kwenye timu ya kamati.
Hiki kikosi ni kikosi bora cha VPL kilichoteuliwa na kamati ,si kikosi bora cha wafuatiliaji Wa VPL.
ReplyDeleteTatizo wajumbe wengi wanamaslahi binafsi.
Hivi hawa hawakuonekana. 1- Vitalis Mayanga - stand
2- Blaise Bigilimana- stand
3-Tiba George- Ndanda.
4-eliud Ambokile- prison
5-Deus Kaseke- Singida
6- Obrey Chirwa-Yanga.
7-na wengine wengi hawa tu wanamchango mkubwa kwenye timu zao kuliko wengi walioko kwenye timu ya kamati.
mi nilishangaa Boko anapewa zawadi mbele ya Okwi wakati mchango wa ubingwa wa Simba wote tunajua ni Okwi huyo Kessy timu ya taifa anawekwa benchi na Kapombe halafu unamchagua kuwa mchezaji bora wacha tuendelee kuchagua nchi za kushabikia kombe la dunia huku kwetu ni madudu tu
ReplyDeleteMimi naona ni sahihi kabisa, Kesi muda wote kacheza namba mbili na kuisaidia Yanga kwenye ligi na mpaka sasa kwenye Makundi shirikisho, Kapombe kaacheza mwishoni mwa ligi, pia muda mwingi alikuwa anacheza namba 8 mbili anacheza Gyan,na hapa anaangaliwa namba mbili bora kitu ambacho huwezi kumlinganisha kesi na Gyan hata kidogo, Pia chirwa hakupaform kama Bocco, Yanga ilikuwa inapata hata bila chirwamchirwa, lakini Boco kaibeba Simba, Simba hawakupata matokeo mazuri bila na Bocco, hBoc kikosi mi nhminkonoyoakimkono,
ReplyDelete