June 15, 2018


Kocha mpya wa Real Madrid, Julen Lopetegui ametambulisha rasmi na uongozi wa klabu hiyo.

Lopetegui ametua Santiago Bernabeu tayari kuanza kibarua chake rasmi kuchukua mikoba ya  Zinedine Zidane ambaye alikuwa Kocha Mkuu wa Madrid.

Zidane ameondoka Madrid baada ya kutangaza kustaafu kuitumikia timu hiyo akifanikiwa kuipa ubingwa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya mara tatu mfululizo.

Lopetegui amejiunga na Madrid huku akifutwa kazi kuinoa timu ya taifa ya Spain kutokana na sababu zilizoelewa kuwa angeweza kuleta  kanganyiko ndani ya timu iyo inayoanza kibarua chake leo dhidi ya Ureno katika michuano ya Kombe la Dunia, Urusi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic