June 18, 2018




Kamati ya maalum chini ya Abbas Tarimba itaangalia sana suala la mishahara.

Taarifa kutoka ndani ya Yanga zimeeleza kwamba lazima kuwe na utaratibu wa kuangalia mishahara ambayo klabu hiyo itaweza kulipa.

“Suala la mishahara hili litaangaliwa sana. Unajua kwa sasa klabu inasumbuka kwa kuwa mishahara ilikuwa juu sana.

“Kwa kuwa tumejifunza, kwa sasa kila anayesajiliwa lazima tuangalie mishahara na kama mtu analipwa fedha kubwa lazima awe na matunda kweli,” kilieleza chanzo.

Yanga imekuwa ikihaha kwa kipindi kirefu sasa kuhusiana na kuwalipa mishahara wachezaji wake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic