Baada ya Ufaransa kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa kuichapa Croatia kwa mabao 4-2. Mashabiki wameamsha shangwe za kutosha nchi Ufaransa.
Waliotia fora zaidi ni wale waliokuwa katika Mnara wa Eiffel jijini Paris ambao ya ushindi huo walianzisha shangwe ya kutosha.
Angalia namna mambo yalivyokuwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment