July 26, 2018

Kipindi cha Spoti Hausi kipo hewani na Mzee Akilimali ambaye amekuwa maarufu sana kwenye soka la Tanzania kwa sasa. Mzee Akilimali anazugumza mambo mengi sana, akizungumzia pia uwezo wa Obrey Chirwa ambaye ameondoka kwenye timu hiyo na shida wanayoipata Yanga kwa sasa kutokana na ukata wa fedha

4 COMMENTS:

  1. Hapana, hakuna mwandishi hapa. Kama una biashara binafsi na huyo mzee labda. Maana hata habari yake ambayo haina maana unatuma tuu. Hebu uwe unasubiri basi uwe na full and confirmed information. Ulichoweka kwa title hakipo kwenye maelezo yako.

    8-)

    ReplyDelete
  2. Joseph Halezya nakuunga mkono 100%hoja yako.wanampa Kiki tu Huyo Mzee

    ReplyDelete
  3. Hili jamaa jinga sana huo uandishi wako nazani ulihongwa tu maana huna ethics za uandishi... Labda ukaandike udaku

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic