Kipindi cha Spoti Hausi kipo hewani na Mzee
Akilimali ambaye amekuwa maarufu sana kwenye soka la Tanzania kwa sasa.
Mzee Akilimali anazugumza mambo mengi sana, akizungumzia pia uwezo wa
Obrey Chirwa ambaye ameondoka kwenye timu hiyo na shida wanayoipata
Yanga kwa sasa kutokana na ukata wa fedha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








Hapana, hakuna mwandishi hapa. Kama una biashara binafsi na huyo mzee labda. Maana hata habari yake ambayo haina maana unatuma tuu. Hebu uwe unasubiri basi uwe na full and confirmed information. Ulichoweka kwa title hakipo kwenye maelezo yako.
ReplyDelete8-)
Joseph Halezya nakuunga mkono 100%hoja yako.wanampa Kiki tu Huyo Mzee
ReplyDeleteHili jamaa jinga sana huo uandishi wako nazani ulihongwa tu maana huna ethics za uandishi... Labda ukaandike udaku
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete