July 13, 2018






Feisal Salum Ab­dallah ‘Fei Toto’ amekutana na wakati mgumu wakati mashabiki wa Simba walipomzomea.

Mashabiki wa Simba walimzomea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati akiitumikia timu yake ya JKU ya Zanzibar dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.

Fei Toto alikuwa akiitumikia JKU katika mechi ya Kombe la Kagame kuwania kupata mshindi wa tatu.

Lakini mashabiki wa Simba walikuwa wakimzomea kwa nguvu kila aliposhika mpira.

Mashabiki hao walikuwa uwanjani wakati wakisubiri mechi ya fainali, Simba ikisubiri kuivaa Azam FC ambayo ndiyo kinara kwa maana ya bingwa mtetezi.

3 COMMENTS:

  1. KWAHIYO MUANDISHI JUHA KWA TAALUMA YAKO ULISOMEA ZAYONI COLLEGE UMEONA NAYO HII NI HABARI UIPE KIPAUMBELE...daaaaah

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwandishi uko poa kabisa kwa habari za michezo.. hawa Yanga watatokwa mapovu mpaka wazimie

      Delete
  2. SHIDA YA YANGA NI NAFASI ZIFUATAZO NAMBA 5, 6, 7, 9, 11, MNATAKIWA MSAJILI BEKI WAWILI WA KUTOKA NJE, NA KIUNGO MKABAJI SIO WAKINA MAKAPU NA ANDREW VINCENT WANAOKABIA MACHO!!! MBONA MNATAFUTA WA BEI CHEE!!!...TAFUTENI WACHEZAJI WA KIGENI WA MAANA KWA NAFASI ZA NAMBA 5, 6, 9, 7 NA 11.......NAANZA KUMWAMINI TARIMBA KUWA UONGOZI WA YANGA NI WA UBABAISHAJI NA WASANII TU, KUWADANGANYA WAPENZI WAO.....NA KAMA UONGOZI HUU UTAENDELEA NA MTINDO HUU....UBINGWA UTAKUWA WA SIMBA, AU AZAM.....SIDHANI KAMA WACHEZAJI DIZAINI HIZI WANAWEZA WAKASHINDANA NA TIMU KAMA SIMBA AU AZAM ZENYE VIKOSI KIPANA AMBAPO UNAWEZA UKAPATA HADI VIKOSI 2......TAFUTENI WACHEZAJI WA KIGENI WENYE UWEZO WA HALI YA JUU WATAKAOLETA USHINDANI....
    HUYO KOCHA ANAWALOSTISHA NA KUWASHAURI VIBAYA!! KAMA MNATEGEMEA KUSHINDANA NA KUTWAA UBINGWA KWA WACHEZAJI DIZAINI HIZI!!!!...YANGA INAKUWA KAMA LIPULI AU PRISON KWA USAJILI WA WACHEZAJI KAMA HAWA!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic