July 20, 2018


Baada ya kufanya madudu nchini Urusi, gwiji la soka nchini Argentina, Diego Maradona ametua nchini Belarus kuanza kazi kama Mwenyekiti wa klabu ya Dinamo Brest.
Maradona mwenye umri wa miaka 57, alipokelewa katika gari aina ya Mercedes Benz kabla ya kuhamishiwa katika gari jingine ambako alitambulishwa kwa mashabiki.

Maradona amesaini mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ingawa watu wengi wamekuwa na hofu kwamba atakivuruga.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic