July 20, 2018


Global Publishers & General Enterprises LTD, kampuni ya uchapishaji wa magazeti, ina nafasi za kazi za Maofisa Usambazaji wa Magazeti katika mikoa mbalimbali nchini, wenye elimu na sifa zifuatazo:


ELIMU:
Wanahitajika vijana wa kiume na kike wenye elimu ya Sekondari au Chuo Kikuu wenye Elimu ya Biashara.


SIFA:
Aidha, mtarajiwa awe kijana mwenye umri wa kuanzia miaka 25, mwenye uzoefu wa kufanya kazi za usambazaji wa bidhaa. Wenye uzoefu wa usambazaji wa magazeti watafikiriwa kwanza. Majukumu ya kazi yatakuwa kuangalia mahitaji ya soka na kupanga mgao kulingana na mahitaji ya soko na kisha kusimamia usambazaji
wake na mwisho kuendelea kutafuta masoko mapya.


Mwisho:
Kama unafikiri unakidhi vipengele vyote vilivyoainishwa hapo juu, tuma barua yako ya maombi ya kazi haraka, iliyoandikwa kwa mkono wako ukiambatanisha na maelezo yako ya kikazi (CV) na nakala ya
cheti/vyeti vyako, kwa:

MENEJA MKUU
S.L.P 7534
DAR ES SALAAM
Wasilisha mwenyewe ofisini kwetu, Sinza Mori (Mori Road). Simu: 0715 288627. Mwisho wa kupokea maombi ni
AGOSTI 20, 2018.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic